3 Parts
1.Binti huyu Mkazi wa Dar es Salaam, Wilaya ya Tameke, Kata ya Makangarawe, Mitaa ya Msakala na Dovya jirani na Shule ya Msingi Yombo Dovya
Amebakwa na Vijana watano ambao ni askari wa moja ya Vikosi vya Ulinzi Tanzania kama wanavyo jieleza katika Video hizo 3 tofauti.
2.Binti huyu amebakwa na kulawitiwa akiwa anarekodiwa video tatu tofauti.
3.Askari hao walio mrekodi wakiwa wanambaka na kumlawiti wamesambaza Video zake mitandaoni kwa maagizo ya Kiongozi wao (Afande) ambaye amewatuma kumpatia huyo binti adhabu.
4.Kwa Maelezo ya Vijana hao (Askari) kosa la huyu binti ni Kutembea na Mume wa Boss wao (Afande)
5.Mahojiano katika Video hizo 3 tofauti zinaonyesha binti amekamatwa na kubakwa na kulawitiwa nje ya Mkoa wa Dar es Salaam.
DJ Roboti
DJ M
DJ M
DJ Roboti
DJ M
DJ Original
DJ M
DJ Roboti
DJ M
DJ M
DJ Six
DJ Roboti
DJ Roboti
DJ Roboti
Comments (0)
Unataka kutoa maoni yako kuhusu filamu hii?
Ingia (Sign In) Kuweka MaoniHakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!